Ukiangalia ligi za timu nyingine hususan Ulaya, kombe la mshindi wa league huwa ni lenye umbo na muonekano ule ule miaka na miaka.
Shida ni sisi hapa. Msimu huu utaona mshindi huu kapewa liko hvi msimu ujao liko hv. Vurugu tupu.
Tff mnaboa kabisa. Jitathimini.
Content credit: tweeter @ spotstz
makombe yenu ndio hayo
TIFUTIFU hakuna hayo mawazo ya kuipa thamani ligi yetu kwa kuwa na nembo ya tuzo yenye kujulikana kwa wepesi. TIFUTIFU ni kikundi cha watu wenye kuishi kwa jasho la vijana wa Kitanzania walioamua kufanya mpira kama maisha yao.