kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Kuelekea chaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 kuna utekaji wa raia wanaounga mkono vyama pinzani wengine wakipotezwa kabisa.
Lengo linaweza kuwa kuwatisha raia kujihusisha na siasa au kuogopa kuikosoa serikali.
Moja ya njia ya strategy ya kukomesha huu ukatili ni vyama pinzani kutoa kauli na kuitisha mandamano ya amani kama walofanya miezi kadhaa nyuma.
Ikumbukwe polisi wamekana kuhusika hivyo imebaki kitendawili kujua nani wanahusika Japo polisi ni mtuhumiwa mmojawapo kwani wao ndio chombo cha kulinda amani na watu kadhaa walichukuliwa kwa staili ya kutekwa kuna tetesi ya wao kuhusika?