Ni wakulima ndio wanaogaiwa chakula cha msaada, siyo wafanyabiashara

Ni wakulima ndio wanaogaiwa chakula cha msaada, siyo wafanyabiashara

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Chakula na Mahindi ya msaada yanagawiwa vijijini huko na sio mjini, mjini haijawahi tokea mahindi ya msaada yakagawiwa, na huko vijijini ni wakulima ndio wanalia njaa kali sana. Sasa Bashe anasemaje kuona wakulima wake ndio sasa hivi wanagaiwa mahindi ya msaada?

Bashe ujue anazania wanao teseka kwa bei kubwa ya nafaka ni watu wa mjini, anasahau mjini kuna altenative nyingi za watu ku survive, Vijijini wanaishi kwa nafaka pekee, na ndio hao wanalia kwa sasa na vijijini ni wakulima full kwa asilimia 100.

Wakulima wake ndio kwa sasa wanalia njaa make waliuza nafaka mwaka jana mwezi wa 7 na kwa sasa hawana kitu tena na wanahitaji msaada wa Serikali ya Bashe.
 
Back
Top Bottom