ni wakweli hawa?

mama dunia

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
420
Reaction score
84
Hi wanajamii,

Kuna hawa watu wanaitwa nexus sijui commonwealth network sasa nimeshapata simu kama mara 3 hivi wananishawishi nilist kampuni yangu humo/yaani niadvertise kwao, ipo UK...eti kuadvertsie ni 3,600 USD kwa mwaka offcourse sijui kama watu wengi wanavist hiyo page yao ama vipi, hebuu chekin kama wakweli au ndo wanaija haahhaha ingawaje wanaonekana kujipanga sana

Link yao ni hii http://www.commonwealthofnations.org
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…