M Moony JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 1,599 Reaction score 436 Oct 14, 2012 #1 Je wajua majina ya wale madaktari sita muhimu katika maisha yako? Kama huwajui basi fungua macho na akili zako :- 1. hewa (Air) 2. Maji (Water) 3.Usingizi ( Sleep) 4. Mazoezi ( Exercise) 5. Jua la asubuhi ( Sunshine) 6. Mpangilio wa Chakula muhimu (Diet) Tafadhari usiache kuwatembelea na kuwatumia ipasavyo. VIVA MWALIMU! VIVA BABA WA TAIFA !!!!!!!!!! VIVA CHAMA CHA .........
Je wajua majina ya wale madaktari sita muhimu katika maisha yako? Kama huwajui basi fungua macho na akili zako :- 1. hewa (Air) 2. Maji (Water) 3.Usingizi ( Sleep) 4. Mazoezi ( Exercise) 5. Jua la asubuhi ( Sunshine) 6. Mpangilio wa Chakula muhimu (Diet) Tafadhari usiache kuwatembelea na kuwatumia ipasavyo. VIVA MWALIMU! VIVA BABA WA TAIFA !!!!!!!!!! VIVA CHAMA CHA .........
Fyong'oxi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2012 Posts 266 Reaction score 72 Oct 14, 2012 #2 Hapo namba tano, mbona kuna nchi zilizoko aktic zina msimu mdogo sana wa kuliona jua na wana afya imara sana?
Hapo namba tano, mbona kuna nchi zilizoko aktic zina msimu mdogo sana wa kuliona jua na wana afya imara sana?
M Moony JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 1,599 Reaction score 436 Dec 17, 2013 Thread starter #3 Fyong'oxi said: Hapo namba tano, mbona kuna nchi zilizoko aktic zina msimu mdogo sana wa kuliona jua na wana afya imara sana? Click to expand... wAKIPATA JUA HULITUMIA VILIVYO
Fyong'oxi said: Hapo namba tano, mbona kuna nchi zilizoko aktic zina msimu mdogo sana wa kuliona jua na wana afya imara sana? Click to expand... wAKIPATA JUA HULITUMIA VILIVYO
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 11,763 Reaction score 11,873 Dec 18, 2013 #4 Moony said: VIVA CHAMA CHA ......... Click to expand... ..........Madaktari