Uchaguzi wa Chadema umeleta hisia kwasababu hii viongozi wengi ambao ndiyo wapiga kura wana muunga mkono Mbowe lakini wananchi wengi ambao hawana chama na diaspora wengi wanamuunga mkono Lissu. Hivyo ushindi wa Mbowe unaweza kuonekana mkubwa kwa wachache wanachama lakini Lissu anaumgwa mkono na wengi sana wasio wanachama.
Swali kubwa ni kwamba
Upande wa Mbowe: Wana amini majadiliano bado yana nafasi
Upande wa Lissu wanaamini majadiliano yameshidwa na inahitajika heka heka mpya kuamsha nchi ili madadiliano yaweze kufanikiwa
Mimi nakubaliana na Lissu kwenye hilo. Lakini Lissu pekee hataweza kuendesha taasisi ya Chadema inabidi wakina Mnyika wanaki maana Lissu hana uzoefu na ubunifu wa Mbowe