Lissu sio wale watu wanaoweza kuwa top leaders lazima awe chini ya mtu mwenye hekima na busara zaidi yake, huyo ni Mbowe.Uchaguzi wa Chadema umeleta hisia kwasababu hii viongozi wengi ambao ndiyo wapiga kura wana muunga mkono Mbowe lakini wananchi wengi ambao hawana chama na diaspora wengi wanamuunga mkono Lissu. Hivyo ushindi wa Mbowe unaweza kuonekana mkubwa kwa wachache wanachama lakini Lissu anaumgwa mkono na wengi sana wasio wanachama.
Swali kubwa ni kwamba
Upande wa Mbowe: Wana amini majadiliano bado yana nafasi
Upande wa Lissu wanaamini majadiliano yameshidwa na inahitajika heka heka mpya kuamsha nchi ili madadiliano yaweze kufanikiwa
Mimi nakubaliana na Lissu kwenye hilo. Lakini Lissu pekee hataweza kuendesha taasisi ya Chadema inabidi wakina Mnyika wanaki maana Lissu hana uzoefu na ubunifu wa Mbowe
Vipi angeshinda Uraisi angekuwa chini ya nani...Mbowe anachoweza ni kula sahani moja na watawala..Na ndio kinamfanya agombee kwa lazima maana anamkataba na mbogamboga...Lissu sio wale watu wanaoweza kuwa top leaders lazima awe chini ya mtu mwenye hekima na busara zaidi yake, huyo ni Mbowe.
Lissu tulijua asingeshinda urais chini ya dikteta Magufuli.Vipi angeshinda Uraisi angekuwa chini ya nani...Mbowe anachoweza ni kula sahani moja na watawala..Na ndio kinamfanya agombee kwa lazima maana anamkataba na mbogamboga...
Vipi angeshinda Uraisi angekuwa chini ya nani...Mbowe anachoweza ni kula sahani moja na watawala..Na ndio kinamfanya agombee kwa lazima maana anamkataba na mbogamboga...
Majadiliano gani wakati huyu Mama anauwa na kupoteza Critics wake walioko CHADEMA?!Upande wa Mbowe: Wana amini majadiliano bado yana nafasi
Ubunifu na Uzoefu aliondoka nao Dkt Slaa, waliobaki pale ni majizi matupu.Uchaguzi wa Chadema umeleta hisia kwasababu hii viongozi wengi ambao ndiyo wapiga kura wana muunga mkono Mbowe lakini wananchi wengi ambao hawana chama na diaspora wengi wanamuunga mkono Lissu. Hivyo ushindi wa Mbowe unaweza kuonekana mkubwa kwa wachache wanachama lakini Lissu anaumgwa mkono na wengi sana wasio wanachama.
Swali kubwa ni kwamba
Upande wa Mbowe: Wana amini majadiliano bado yana nafasi
Upande wa Lissu wanaamini majadiliano yameshidwa na inahitajika heka heka mpya kuamsha nchi ili madadiliano yaweze kufanikiwa
Mimi nakubaliana na Lissu kwenye hilo. Lakini Lissu pekee hataweza kuendesha taasisi ya Chadema inabidi wakina Mnyika wanaki maana Lissu hana uzoefu na ubunifu wa Mbowe