Wamekuwa ni watu wenye visirani na ugomvi kila iitwapo leo-usiku, hasa hasa mwanamke, amekuwa ni mtu wa kwanza kumsema mumewe kwa majirani hasa kwenye vikao vya hisa na vyama! Naomba tu kufahamu sababu ambazo zinapelekea wanandoa wengi kubadili mienendo yao na kupunguza upendo baina yao siku hadi siku.