Ni Wangapi walishaisikia hii Song: Fikra potofu Langa ft Salu T

Ni Wangapi walishaisikia hii Song: Fikra potofu Langa ft Salu T

Miguel Alvarez

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Posts
2,856
Reaction score
5,430
Huu ni wimbo ambao Marehemu LANGA aliifanya kipindi cha mwisho wa uhai wake

Lakini haikuweza kutoka rasmi kwa mara ya kwanza niliusikia siku ya msiba wake pale kwao mikocheni

Leo kwa mara nyingine nimeweza kupata tena nimefarijika mno maana ni wimbo nilioutafuta kwa muda mrefu

Nikaona sio mbaya ku share pamoja na wale wenzangu wanaopenda mziki mzuri wa Hip-hop

Song :FIKRA POTOFU
LANGA ft SALU T

R.I.P brothers
 
Back
Top Bottom