Ni wapi Dar hii naweza pata venue ya wazi kwa ajili ya shughuli ndogo ya kijana wangu?

Ni wapi Dar hii naweza pata venue ya wazi kwa ajili ya shughuli ndogo ya kijana wangu?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Wakuu salama? Najaribu kuuliza ni wapi nitapata kaeneo ka wazi kwa idadi ya watu wasiozidi 100 kwa ajili ya function kidogo. Kwa mwenye kujua tafadhali
 
Eneo la wazi kama uwanja wa mpira?

maana kama ni kumbi za sherehe zipo nyingi sana ila huwezi kuziita open space
 
Kuna sehemu nyuma ya Vodacom, Victoria nimepasahau jina
Hekima Garden
Kuna sehemu pembeni ya Velisa Kawe
Shabaha Mbezi Beach
 
Kuna moja iko tabata aroma, uelekeo wa Tabata Bima huko, ukumbi unaitwa Matongee

0762885763 ongea na Huyu jamaa atakupa maelekezo zaidi kama kuna nafasi
Sawa mkuu, thanks
 
Back
Top Bottom