Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Nimekusoma Chief. Nielekeze baadhiEneo la wazi kama uwanja wa mpira?
maana kama ni kumbi za sherehe zipo nyingi sana ila huwezi kuziita open space
Ngoja nicheki na hapo VictoriaKuna sehemu nyuma ya Vodacom, Victoria nimepasahau jina
Hekima Garden
Kuna sehemu pembeni ya Velisa Kawe
Shabaha Mbezi Beach
Kuna moja iko tabata aroma, uelekeo wa Tabata Bima huko, ukumbi unaitwa MatongeeNimekusoma Chief. Nielekeze baadhi
Sawa mkuu, thanksKuna moja iko tabata aroma, uelekeo wa Tabata Bima huko, ukumbi unaitwa Matongee
0762885763 ongea na Huyu jamaa atakupa maelekezo zaidi kama kuna nafasi