Ni wapi Dar watu wanajifunza kucheza salsa na kizomba?

Ni wapi Dar watu wanajifunza kucheza salsa na kizomba?

Northpal

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
329
Reaction score
295
Wanajamvi mie nauliza ni wapi kwa Dar hii ambapo watu hujifunza na kudans Salsa na kizomba, na Ratiba ni vipi?
 
Best nipo serious, nahitaji kujua..
 
teh teh !
kiongozi hiyo mada naomba tuiahirishe kama inawezekana hadi october 27..
 
Kuna jamaa alikuwa anafundisha maeneo ya barabara ya nhc palace na agha khan hospitali ila namba yake nimeipoteza km bado anafundisha unaweza mtafuta maeneo hayo kwa kuulizia
 
Back
Top Bottom