Ni wapi hasa (hospital au sehemu yoyote) wanakubali uchangiaji wa figo?

Ni wapi hasa (hospital au sehemu yoyote) wanakubali uchangiaji wa figo?

clearmind

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
813
Reaction score
1,913
Habari waungwana?

Hivi Kwa Tanzania na ukanda huu wa Afrika mashariki, ni wapi hasa(hospital au sehemu yoyote) wanakubali kidney donation?
 
Back
Top Bottom