C clearmind JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 813 Reaction score 1,913 Sep 8, 2023 #1 Habari waungwana? Hivi Kwa Tanzania na ukanda huu wa Afrika mashariki, ni wapi hasa(hospital au sehemu yoyote) wanakubali kidney donation?
Habari waungwana? Hivi Kwa Tanzania na ukanda huu wa Afrika mashariki, ni wapi hasa(hospital au sehemu yoyote) wanakubali kidney donation?
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,263 Reaction score 18,201 Sep 8, 2023 #2 Kumekuchaaaaaa
C clearmind JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 813 Reaction score 1,913 Sep 8, 2023 Thread starter #3 Dream Queen said: Kumekuchaaaaaa Click to expand... Aje Tena?
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Sep 8, 2023 #4 Umaskini unalemaza vijana na kuwajeruhi akili.
C clearmind JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 813 Reaction score 1,913 Sep 8, 2023 Thread starter #5 TODAYS said: Umaskini unalemaza vijana na kuwajeruhi akili. Click to expand... Mbona tunajadili Hili suala Kwa mihemko sana. Hivi kuuliza kuhusu kidney donation akili yako inakupeleka kwenye umaskini TU? Hujataka hata kujihoji kwamba ni kwanini huyu mtu anauliza? Hebu tuachane fikra za kifukara hizi😔
TODAYS said: Umaskini unalemaza vijana na kuwajeruhi akili. Click to expand... Mbona tunajadili Hili suala Kwa mihemko sana. Hivi kuuliza kuhusu kidney donation akili yako inakupeleka kwenye umaskini TU? Hujataka hata kujihoji kwamba ni kwanini huyu mtu anauliza? Hebu tuachane fikra za kifukara hizi😔
msindohr Member Joined Jan 12, 2025 Posts 7 Reaction score 15 Jan 19, 2025 #6 0+ ready to donate from Dar
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,400 Reaction score 14,339 Jan 19, 2025 #7 msindohr said: 0+ ready to donate from Dar Click to expand... Kulikoni tena
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 19, 2025 #8 Kama ni bure nenda hospital ya mkoa ukaulizie muongozo