Anahitaji kujua Yoga...... Aingie You tube ajifunze
Ongezea wengine km watano hiviAnahitaji kujua Yoga...... Aingie You tube ajifunze
Ama TikTok yupo jamaa mmoja anaitwa Wambura anafundisha hizo Yoga
Ama mtafute Munno Healer
Kabla ya kuanza yoga ielewe vizuri. Research kuhusu KUNDALINI spirits. Yogis wengi wanaingiaga tu bila kujua.Hello Wadau wa Jamii Forum,
Natumai mko poa,ningependa kufahamu kwa yeyote anayefahamu ni sehemu ambayo naweza shiriki YOGA .
So far nimepata moja amabayo iko Haile Selassie.
Nahitaji machaguo kadhaa kabla sijafanya maamuzi
kwa yeyote mwenye kufahamu ama mwenye uzoefu na YOGA tafadhali usisite kunifahmisha .
Ahsante
sijui kitu ila nimegoogle 'yoga classes dar es salaam' nikaona sehemu 3