Ni wapi kuna Yoga Studio?

Mkuu mimi naijua misikiti tu, mazoezi huwa nafanyia popote nitakapolala, 45mins kila siku asubuhi na jioni huwa ni combat type mazoezi yangu.
Mazoezi hayo ya kundalin unafanyia msikitini?
 
Mazoezi hayo ya kundalin unafanyia msikitini?

Hapana sio msikitini, popote nitakapolala maana sina sehemu maalum ya kulala popote kambi.

Mazoezi yangu huwa ni combat type 45mins tu day and night, kama wewe sio mkakamavu unaweza kufa.
 
Hapana sio msikitini, popote nitakapolala maana sina sehemu maalum ya kulala popote kambi.

Mazoezi yangu huwa ni combat type 45mins tu day and night, kama wewe sio mkakamavu unaweza kufa.
Unalala nje au wapi?
 
Nenda Mukti, Emmz au Brahma zote zipo Masaki. Hizo tatu tu wengine watakuibia.

Mukti bei na package zao hizi hapa:

All the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…