riz runners255 Member Joined May 20, 2016 Posts 8 Reaction score 5 Jul 14, 2016 #1 Mimi ni kijana mtanzania, umri wangu ni miaka 27. Nimetokea kuupenda mchezo wa kuogelea na kuhitaji kujifunza ila sijui pa kuanzia. Please msaada kwa anayefahamu.
Mimi ni kijana mtanzania, umri wangu ni miaka 27. Nimetokea kuupenda mchezo wa kuogelea na kuhitaji kujifunza ila sijui pa kuanzia. Please msaada kwa anayefahamu.
mareeTZ Senior Member Joined Jun 4, 2015 Posts 171 Reaction score 179 Jul 14, 2016 #2 riz runners255 said: Mimi ni kijana mtanzania, umri wangu ni miaka 27. Nimetokea kuupenda mchezo wa kuogelea na kuhitaji kujifunza ila sijui pa kuanzia. Please msaada kwa anayefahamu. Click to expand... fika chuo kikuu mlimani kila siku saa tisa jioni karibu na parking ya shuttle bus za mabibo kuna swimming pool.
riz runners255 said: Mimi ni kijana mtanzania, umri wangu ni miaka 27. Nimetokea kuupenda mchezo wa kuogelea na kuhitaji kujifunza ila sijui pa kuanzia. Please msaada kwa anayefahamu. Click to expand... fika chuo kikuu mlimani kila siku saa tisa jioni karibu na parking ya shuttle bus za mabibo kuna swimming pool.
riz runners255 Member Joined May 20, 2016 Posts 8 Reaction score 5 Jul 14, 2016 Thread starter #3 Utalatibu ukoje kujiunga, kuna walimu mana cna uzoefu sana na mchezo huo nlikuwa naitaji sehem kama club hvi nweze kujifunza zaid
Utalatibu ukoje kujiunga, kuna walimu mana cna uzoefu sana na mchezo huo nlikuwa naitaji sehem kama club hvi nweze kujifunza zaid
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,897 Reaction score 10,213 Jul 14, 2016 #4 Nenda pale UDSM utaelezwa utaratibu uliopo
H herzygovina mwangosi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2013 Posts 900 Reaction score 431 Jul 14, 2016 #5 nenda facebook search Kharid Rushaka,ni mwalimu wa kuogela pale UDSM anarespond uki muinbox..ningekupatia namba yake,but just try that optional first
nenda facebook search Kharid Rushaka,ni mwalimu wa kuogela pale UDSM anarespond uki muinbox..ningekupatia namba yake,but just try that optional first