Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
Wasalaam wakuu.
Carl Jung alizama kwenye bahari ya psychedelics na kuandika vitabu vingi vilivyobadilisha maisha ya mamilion ya watu.
Kwa upana pia ninataka kubadilisha maisha yangu kwa kuua Ego na kuwa mmoja na ulimwengu.
Natamani kutranscend na kuwa katika level kuu itakayonifanya niishi maisha hapa duniani kama Yesu,Paulo au Buddha.
Msaada kwa hapa Dar ninaweza kupatia wapi psychedelics?
NB:Meditation ilinishinda.