Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
Unaitwaje?Kuna uzi humu JF umejadili sana hili suala hebu utafute
What is EgoWasalaam wakuu.
Carl Jung alizama kwenye bahari ya psychedelics na kuandika vitabu vingi vilivyobadilisha maisha ya mamilion ya watu.
Kwa upana pia ninataka kubadilisha maisha yangu kwa kuua Ego na kuwa mmoja na ulimwengu.
Natamani kutranscend na kuwa katika level kuu itakayonifanya niishi maisha hapa duniani kama Yesu,Paulo au Buddha.
Msaada kwa hapa Dar ninaweza kupatia wapi psychedelics?
NB:Meditation ilinishinda.
‘Umimi’What is Ego
With respect naomba kufahamu uhusiano wa haya maswali uliyomuuliza mleta mada na kitu anachokihitajiKwanza tafuta maarifa sahihi kabla ya kupata hiyo dawa by the way nachelewa kukuuliza kama ushawahi kujaribu kuvuta Bob Marley original.
Umewahi kutembelea nchi ngapi apa duniani kufikia mda huu?
Unewahi kufanya tajahudi/meditation?
Umewahi kusoma biblia ama Quran na kuimaliza?
Una uwezo wa kuishi muda gani bila kufanya kazi! Unaweza kwenda matembezi ya mwezi mmoja ?
akikujibu nijulisheWith respect naomba kufahamu uhusiano wa haya maswali uliyomuuliza mleta mada na kitu anachokihitaji
Kwa dar es salaamWasalaam wakuu.
Carl Jung alizama kwenye bahari ya psychedelics na kuandika vitabu vingi vilivyobadilisha maisha ya mamilion ya watu.
Kwa upana pia ninataka kubadilisha maisha yangu kwa kuua Ego na kuwa mmoja na ulimwengu.
Natamani kutranscend na kuwa katika level kuu itakayonifanya niishi maisha hapa duniani kama Yesu,Paulo au Buddha.
Msaada kwa hapa Dar ninaweza kupatia wapi psychedelics?
NB:Meditation ilinishinda.
mkuu ni kitu gan hicho?Kwa dar es salaam
Utapata KIGAMBONI, BAGAMOYO...
Na mchungaji hananje ana sehem yake ila sijajua wapi?
So unaweza uka tafuta contact za mchungaji hananje ukaweza kusaidika ki uraisi...
mkuu ni kitu gan hicho?
kaka umewah tumia magic mushrooms?Elezea kwanza nikwanamna gani umeshindwa kupitia meditation??
Kwanza kifupi sana nikwamba kupitia hizo magic mushroom unahatari sana yakulukwa Na Akili nisawa na kushika gafra brek zako ukiwa mwendo kasi..
Kinacho tokea ni gari kwenda kasi zaidi tena bila mpangilio mzuri.
Ulimwengu wa roho kuutembelea yahitaji ujasili na hekima ukiingia gafra bila mpangilio unaweza ukanasia huko ikawa shida kuludi.
Vinginevyo uwe chini ya Master atakae kua anakusimamia.
Atheist anatafuta Magical items.Magic Mushrooms: Dawa ya kulevya iliyoanza kutumika miaka 9,000 Kabla ya Kristo
MAGIC MUSHROOMS: UYOGA WA KICHAWI: DAWA YA KULEVYA YA KIINDOLE ILIYOANZA KUTUMIKA MIAKA 9,000 KABLA YA KRISTO MAGIC MUSHROOMS, inayojulikana pia kama "psilocybin" au "shrooms," au UYOGA WA KICHAWI kwa Kiswahili, ni dawa ya kulevya yenye alkaloidi au kemikali za kiindole. Imekuwa ikitumika kwa...www.jamiiforums.com