The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Peace be with you all,
Wakuu kumekua na mitindo au style nyingi za pikipiki zikija na madoido ya mahali tofauti tofauti pa ufungwaji wa plate numbe kama nyuma, mbele, juu ya carry bar kwa piki piki kubwa kama baja, XL na XLR.
Sasa kuna piki piki ameagiza jamaa yangu yenyewe haina sehemu ya plate number kwa mbele wala nyuma kuna madoido mengi mengi na ukisema kuforce kumodify ni kuharibu muonekano wake ila sehemu ya plate number imewekwa kwenye mkono wa shock absober chini.
Ni piki piki nzuri na ya kisasa sana, swali je kwa kufunga plate number kwenye shoch absober chini haitakua na shida ? Je kuna utaratibu wowote rasmi wa mahali pa kufunga plate number?