The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Nilikua nahisi hivyo pia. Je kwa pikipiki ambazo hazijaundwa na plate number bar kwa nyuma wala mbele ila pembeni ingekua wewe ungechukua uamuzi gani mkuu ?Hilo ni kosa kwa mujibu wa sheria ya usalama barabarani kwa pikipiki hicho kibao cha namba lazima kiwekwe upande wa nyuma kabisa ili kiweze kuonekana na kusomeka vizuri
Hapo ni kuifanyia tu modification ili hiyo number plate ikae nyuma inapotakiwa kwa mujibu wa sheria tu kwani polisi watakusumbua sana.Nilikua nahisi hivyo pia. Je kwa pikipiki ambazo hazijaundwa na plate number bar kwa nyuma wala mbele ila pembeni ingekua wewe ungechukua uamuzi gani mkuu ?
Asante mkuu.Hapo ni kuifanyia tu modification ili hiyo number plate ikae nyuma inapotakiwa kwa mujibu wa sheria tu kwani polisi watakusumbua sana.