Ni wapi maharage yanakopatikana kwa bei Nafuu?

Ivi mwakahuu kuna unafuu wabei yamaharage kweli,kwambeya naona yanaendelea kupanda tu,wenye stok ndani nivicheko tu, cjui mpaka kufika Dec itakuwaje
 
Maharage ni ya kazi gani? kufundishia> hivi hiyo bado inatumika kama mboga?
 
Ivi mwakahuu kuna unafuu wabei yamaharage kweli,kwambeya naona yanaendelea kupanda tu,wenye stok ndani nivicheko tu, cjui mpaka kufika Dec itakuwaje
Zina bei gani
 
Umeonesha uwezo mdogo wa akili yako, ungepita tuu taji
Mwasipenjele,kibranketi,rosecoco,kipapi,maini(maji maramoja)kigoma,masusu,jesca n.k Kila mbegu na bei yake japo hazijaachana sana wa uhakika zaid weka bajeti ya 48k- 50k kwa debe
 
Kwa sasa bei ya kununulia ni 2400-2600 kwa kilo kwa debe ni 45k-50k kulingana na aina na ubora wa maharage
 
Mwasipenjele,kibranketi,rosecoco,kipapi,maini(maji maramoja)kigoma,masusu,jesca n.k Kila mbegu na bei yake japo hazijaachana sana wa uhakika zaid weka bajeti ya 48k- 50k kwa debe
hyo kwa bei ya jumla? Maana nakuja kuiuza pia, nikiwa musoma naipataje?
 
Ndio nikwabei yajumla mana inatakiwa ujue kuwa huu sio msimu wakuvuna,kwaiyo inakubidi ununue kwa waliotunza ndani(wachuuzi)
 
Nikiwa musoma naipataje?
Inawezekana mkuu , mzigo tu unapakiwa unakuja usimtumie mtu hela nenda mwenyewe ukakague mzigo ujihakikishie ni msafi na umetimia !
Mimi niko Morogoro kama utapendelea ninazo Tani 4 za njano golori !
 
hyo kwa bei ya jumla? Maana nakuja kuiuza pia, nikiwa musoma naipataje?
Huku dar es salaam maharage mazuri mfano soya haya yakijivu yanauzwa kilo 2400 ni mazuri sana maji mara moja tu .sasa iyo ni bei ya dukani reja reja bei ya jumla naisi itakuwa chini ya hapo
 
Inawezekana mkuu , mzigo tu unapakiwa unakuja usimtumie mtu hela nenda mwenyewe ukakague mzigo ujihakikishie ni msafi na umetimia !
Mimi niko Morogoro kama utapendelea ninazo Tani 4 za njano golori !
Morogoro sehemu gan
 
Oooh wooow tunakupataje sasa
 
Back
Top Bottom