Ni wapi naeza jifunza/soma Chinese....??

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
594
Reaction score
163
Wadau....msaada tafadhari. Nahitaji kupata sehem ambayo nitasoma chinese na kuweza kuongea na kuandika vizuri.
Natanguliza Shukrani zangu kwenu.
 
Upo wapi? kama upo dodoma pale University of Dodoma kuna taasisi imeanzishwa inafundisha kichina. Na walipoanza walikuwa wanafundisha bure Udom na St. John's walikuwa na darasa pia. Kwa hiyo nenda Udom college ya humanities ndo ilipo taasisi hiyo.
 
Kama upo dar nenda udsm kuna taasisi inaitwa Confusius institute wanafundisha kichina.
 
Bisansaba Nipo dsm aisee....nitafanya ivyo. Shukrani sana ndugu....bt if there any other place wanafundisha wadau....tupeane taarifa. Thanx a lot.
 
Last edited by a moderator:
Bisansaba Nipo dsm aisee....nitafanya ivyo. Shukrani sana ndugu....bt if there any other place wanafundisha wadau....tupeane taarifa. Thanx a lot.

Waweza wasiliana na Prof Zhang, namba yake ni 0752483723, yeye ndiye mhusika mkuu. Uamuzi wako wa kusoma kichina ni mzuri sana, hongera sana.
 
Bisansaba Nipo dsm aisee....nitafanya ivyo. Shukrani sana ndugu....bt if there any other place wanafundisha wadau....tupeane taarifa. Thanx a lot.

all the best mkuu lakini kumbuka kujifunza lugha lazima uwe smart kisarufi....angalia title yako.. Neno 'naeza' si neno sanifu.
 
all the best mkuu lakini kumbuka kujifunza lugha lazima uwe smart kisarufi....angalia title yako.. Neno 'naeza' si neno sanifu.

Daah...nashukuru mkuu kwa kuliona hilo na kunirekebisha....naaamini ni type error tuu ukizingatia natumia simu. Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…