Ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa hapa Kahama?

Ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa hapa Kahama?

Dear ex

Member
Joined
Oct 27, 2023
Posts
49
Reaction score
88
Habarini wanaJF?
Naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa hapa manispaa ya Kahama?
 
Umeshapata au bado njoo kuna dalali nikuunge nae uwe na hela ya kianzio na mdhamini
 
Back
Top Bottom