Ni wapi naweza kupata nguo za mitumba za wanawake kwa Dar es Salaam?

Ni wapi naweza kupata nguo za mitumba za wanawake kwa Dar es Salaam?

second lady

Member
Joined
Mar 24, 2021
Posts
43
Reaction score
19
Habari za maisha wanaJF?

Mimi naomba msaada ni wapi naweza kupata nguo kali za wadada za mtumba kwa bei nafuu hapa Dar haswaa zile wanazopenda kuvaa wanachuo nimeattach picha ya mfano wa nguo hapo.

Natanguliza shukran zangu za dhati

i
Screenshot_20210927-113825_Instagram.jpg
 
BALE ZA SKINNY JEANS ZA KIKE MTUMBA GRADE A zinakuja wiki hii Dar es Salaam.

Kila bale ina jeans kati ya 100 mpaka 115, ya rangi mbalimbali.

Bei ya kutupa, bale moja kwa jumla laki 4 na 80 tu!

Usipoteze nafasi, ondoa umaskini.

Hatuuzi rejareja kwa sasa

Kwa Maelezo zaidi DM!
 
Asante lakini mm sitaki balo nahitaji za kupoint moja moja
 
unaweza kupata kariakoo na manzese,..
nenda manzese bakhresa pale uliziaulizia utapata zipo nyingi tu hizo za kike
Kila siku mabalo yanafunguliwa sehemu hizo kasoro jumapili tuu
 
Back
Top Bottom