Ni wapi naweza kupata tray za kuwekea mayai ya kware

Ni wapi naweza kupata tray za kuwekea mayai ya kware

TO2004

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
540
Reaction score
219
Habari wakuu! Nipo dar es salaam naomba kujuzwa sehemu ninazoweza kupata tray za kuwekea mayai ya kware.
 
Habari wakuu! Nipo dar es salaam naomba kujuzwa sehemu ninazoweza kupata tray za kuwekea mayai ya kware.

Tray za mayai ya kware za pkastic ninazo ..... bei ni Tsh 1,000 ..... zinabeba mayai 30
 
Pia kama unaweza fika pale bugurun zinapopak gar za muhi2 kunaduka la dawa utapata pia trey
 
Back
Top Bottom