Wanashona vizuri tu mkuuAsante,vipi kofia wanaweza kushona pia?
Asante.Wanashona vizuri tu mkuu
muone Remtullah
Kuna uzi niliona kuwa kuna jamaa anakula hela za watanzania wenzetu kwa KUJIITA yeye ni wakala wa QATAR AIR hivo ukitaka kazi kule ni sekunde tu coz yeye ni wakala.Nimeona pia kwenye wimbo wa Rayvanny-Te quiero yule Video vixen alivaa uniform fulani kama za flight attendant View attachment 2388211View attachment 2388212
Hahaa ,du! huo utapeli wa viwango vyake,mi sipo huko mkuu,nina kazi nayo tofauti kabisaKuna uzi niliona kuwa kuna jamaa anakula hela za watanzania wenzetu kwa KUJIITA yeye ni wakala wa QATAR AIR hivo ukitaka kazi kule ni sekunde tu coz yeye ni wakala.
Afadhali isiwe wewe mkuu maana mkimaliza maongezi unampa kabisa na UNIFORM na kumwambia asubir cm tu ya kwenda kazini, itakuwa mbaya zaidi coz utaumiza kijiji.
GOOD LAUCK kupata Uniform yako.
Huyo wa Rayvany mkoti umenunuliwa Kariakoo sketi imenunuliwa Sinza kofia kwa Rich mitindoNimeona pia kwenye wimbo wa Rayvanny-Te quiero yule Video vixen alivaa uniform fulani kama za flight attendant View attachment 2388211View attachment 2388212
Huyo wa rayvany mkoti umenunuliwa kariakoo sketi imenunuliwa sinza kofia kwa rich mitindo
Mbona umempa uhakika sana wakati hujamtaja hata designer mmojaWanashona vizuri tu mkuu