Yeah kofia tu ndo nzuriHa ha ndio maana sikuipenda maana imekaa kama askari,japo kofia nzuri
Then...... Cc:.......... [emoji1787]Ngoja waje kukupa muongozo...
Mkuu unao watoto wazuri wakuvaa hizo kazi ? Sio unaleta alafu wavaaji wenyewe shape za gunia, utaona tu sio nzuri kumbe kazi kali ila wavaaji chengaNimeona pia kwenye wimbo wa Rayvanny-Te quiero yule Video vixen alivaa uniform fulani kama za flight attendant View attachment 2388211View attachment 2388212