Ni wapi naweza pata mkopo kwa riba nafuu?

SINA MDA WA KUJIBU ARISES ZA HAPA LAKINI MTU YEYOTE ASITOE HELA YA AINA YOYOTE KUPATA PESA HIZI NA NAOMBENI SANA MTU ASOME MKATAPA NA AKABIZIWE PESA NDIO AUSANI.
mbona nimekufuata dm, umesema nisikufuate dm nipige kwenye namba, ina maana unafanya sisi watoto wadogo si ndiyo
 
Naomba kuuliza Kuna mtu alishakopa Viva mikopo online?. Maana nawaona kwenye mitandao wakijinadi kutoa mikopo kwa riba nafuu, huku wakitaka advance ya 10% Kama dhamana ya mkopo. Naogopa kupigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…