Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
wakuu babari, nikipita kwenye maduka ya bongo ya electronics naona zimejaa subwoofer za mchina tu na hometheter za mchina na sio malysia wala japan.
kwa sisi wanazi wa.mziki ningependa nipate walau mashine ya avr amplifier 7.2 channel yenye bluetooth,usb na walau inasukuma kuanzia 150watts @6ohms,brand kama vile denon,onkyo,murantz, sony,pioneer etc.
Lakini kibongobongo hamna wengi wana ma amplifier ya kizaman. nimejaribu kuangalia website za kenya na uganda wanazo nyingi sana ile bei kisu. vipi hapa Tanzania wapi naweza pata mashine ya uhakika heavy kwa bei ya mswano?