Wana JF,
Nilipata ajali ya Goti mwaka 2008, kwa bahati nzuri hakukuwa na fracture, ila halijawahi kurecover fully mpaka leo. Nimekuwa nikihudhuria klinik MoI, nikachalpwa MRI lakin hakukonekana abnormality yoyote! ila napata maumivu na goti na linaishiwa nguvu siku hadi siku!
MoI waliniambia kuwa kwa kuwa hawawez kuprovoke maumivu, hawataweza kunipatia tiba! Nilimuona specualist wa magoti akaniambia kuwa option nyingine ni kuingiza kamera ndani na kumulika kujua what is wrong!! nikaona pia haitanisaidia hivyo sikufanya.... Ushauri????
naomba kujua ni wapi ntaweza kupata msaada wa matibabu!
asanteni