Ni wapi nitapata hivi visanduku vya biashara za mtaani

Luhan12

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2019
Posts
550
Reaction score
723
Habari za asubuhi wanajukwaa. Nahitaji kumwanzishia biashara ya vitafunwa mdogo wangu ili kumwepusha na vijiwe vya kijinga huku akisubiria tokeo la form 4... Moja ya mahitaji ya hii biashara ni container, sasa Kuna yale masanduku maarufu sana jijini Dar es salaam, mara nyingi hutumiwa na madogo ambao wanauza samosa/Sambusa mtaani. mwonekano wake yameundwa kwa bati za aluminium na vioo ili kuonyesha bidhaa iliyopo ndani. Kwa anayefahamu ni wapi naweza kuyapata nangojea Comments
 
Mchina mwingine huyu JF, yeye kama Tanzania kuuza Sambusa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ...

Niaahaomah
 
Hivyo nadhani binatengenezwa kwa hawa mafundi wanaotengeneza Alminium watembelee hao. Goodluck
 
Gerezani Kariakoo ama kwenye viwanda vya Sido mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…