DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,536
- 1,998
Kazi ya door to door marketing unaweza kama upo tayari nicheki inbox.
Bro... Ni door to door marketing au door to door selling?!Kazi ya door to door marketing unaweza kama upo tayari nicheki inbox.
Bro... Ni door to door marketing au door to door selling?!
Marketing sio kuuza babu, selling ndio kuuza.... Usiklemishe, elewa....
Kuna tofauti kati ya Door to Door marketing na Selling, Selling ni mziki mwingine...kama ipo iyo ya Door to Door marketing hata mimi naitaka hata sasahiviIpo door to door marketing ambayo makampuni mengi wanafanya vijana wanakuwa vipeperushi vya kampuni husika wanapita kwenye maofisi au hata majumbani ku market service or product.Upo dunia ya ngapi au unaakili za jiwe
Aisee yamekukuta mpaka umaomba kibarua cha 7000 kutwa JF pole sana mbia wangu kwenye uchumi wa kati
Kwa kweeeli wala hujakoseaMwenye shibe Hamjui mwenye Njaa[emoji17]
7000 unaichukuliaje mkuu
kwa kweeeli wala hujakosea
.... 7000 kwa siku simchezo
Sisi wenye 5.6 ndo basi tena siyo?Kama unajijua wewe ni mrefu....na upo teyari kufanya kazi za ulinzi...ukiwa na vyeti halali....njoo gardawold ajira zipo za kumwaga mshahala kuanzia 250000/=
Vp ipoje hii mkuu nimekuchek inboxKazi ya door to door marketing unaweza kama upo tayari nicheki inbox.
Sisi vi Andunje hatufai kuwa walinzi. Tunafaa kuwa mabosi.Kama unajijua wewe ni mrefu....na upo teyari kufanya kazi za ulinzi...ukiwa na vyeti halali....njoo gardawold ajira zipo za kumwaga mshahala kuanzia 250000/=