P puruwanji Member Joined Sep 22, 2018 Posts 81 Reaction score 28 Jan 11, 2019 #1 Habari zenu wakuu, Naomba msaada kwa anaejua biashara ya maua karkade wapi nitapata kwa jumla na bei zake naomba msaada huu wakuu.
Habari zenu wakuu, Naomba msaada kwa anaejua biashara ya maua karkade wapi nitapata kwa jumla na bei zake naomba msaada huu wakuu.
MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,738 Jun 29, 2019 #2 Habari za leo mkuu kama una mtu dodoma mwambie akutafutie kule inapatikana kwa wingi unaweza kuipata sokoni dodoma mjini au kuifwata kwa wakulima ikiwa unahitaji kiwango kikubwa.
Habari za leo mkuu kama una mtu dodoma mwambie akutafutie kule inapatikana kwa wingi unaweza kuipata sokoni dodoma mjini au kuifwata kwa wakulima ikiwa unahitaji kiwango kikubwa.