Habari wadau?
Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha ufundi mafinga lutheran vocation training centre, nipo mwaka wa pili katika fani ya umeme wa majumba na viwanda, sasa niliitaji ni wapi nitaweza kupata nafasi ya kufanya field kwa uhakika katika mikoa ya mbeya iringa na dar es salaam.
Naombeni msaada jamani
Namba yangu ni 0769905909