Ni wapi nitapata takwimu za wanafunzi?

Zamazamani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2008
Posts
1,869
Reaction score
787
Wadau
Mimi ni mmoja wa wadau wa elimu ,kwa upande wa mafunzo ya ufundi stadi (namiliki chuo cha kompyuta focused on mid and low class societies only ) ,Kuna proposal ninaandika ili nipate financial support na niweze ku exapand huduma zangu...katika hiyo proposal kuna hitaji la takwimu za wanafunzi wanaomaliza,wanaofeli na wanaofaulu ( std VII - Form VI) , katika at least miaka mitatu iliyopita kwa ujumla wake....nimejaribu ku search kwenye mtandao sijapata taarifa za kutosha..nimejaribu kuwaandika barua NECTA sasa yapata miezi miwili na nusu hakuna jibu hata baada ya kufuatilia palepale physically hakuna jibu zaidi ya urasimu ..sasa nimekwamia hapo kwa zaidi ya miezi mitatu na naona matumaini yanafifia...kama kuna mdau anaweza kunisaidia kwa namna yeyote ile anakaribishwa na nitashukuru....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…