Habari! Tu vijana 15 tumeunda kikundi chetu chenye malengo chanya kiuchumi. Sasa nimekwenda bank kufungua akaunti yetu nimekutana na masharti tofauti kwa kikundi kilichasajiliwa na ambacho hakijasajiliwa...nauliza, je ni wapi ntasajili na kuna umuhimu gani na faida ya kusajili kikundi?