Ni Wapi Soko la Mbaazi Ntapata?

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Nahitaji kuanza Kulima mbaazi huko Morogoro.
Waungwana, naomba kujulishwa soko la uhakika ntapata wapi?
Na je ni kweli viwanda vya kutengeneza biskuti vinanunua hzo mbaazi?
Naomba kuwasilisha...
 
Nahitaji kuanza Kulima mbaazi huko Morogoro.
Waungwana, naomba kujulishwa soko la uhakika ntapata wapi?
Na je ni kweli viwanda vya kutengeneza biskuti vinanunua hzo mbaazi?
Naomba kuwasilisha...

Nenda METL pale Nyerere road Dar watakwambia na bei.
 
Nafahamu pia india wananunua sana mbaazi, sifahamu wanatumia kwa kazi gani
 
Soko lao lipo kigogo sambusa,wewe leta mzigo wako
 
Mbaazi ni zao lenye soko lisilotetereka. Bei yake ipo juu na haipungui mia saba kwa kilo hadi elgu moja kutegemea msimu. Arusha kuna soko kubwa la uhakika. Inafahamika kwamba India ni watumiaji wakubwa mbadala wa dengu. Nadhani inaitwa pigeon peas kwa Kimombo.
 
Kampuni nyingi za biscut zinahitaji mbaazi zile nyeupe ...
 
Nahitaji kuanza Kulima mbaazi huko Morogoro.
Waungwana, naomba kujulishwa soko la uhakika ntapata wapi?
Na je ni kweli viwanda vya kutengeneza biskuti vinanunua hzo mbaazi?
Naomba kuwasilisha...
mbaazi zikoje mkuu,tuwekee picha
 
Ekari moja inatoa kiasi gani kwa wastani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…