Ni wapi Tanzania kuna bustani nzuri ya kupumzika kama ya Nakuru nchini Kenya?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Ni sahihi kuiga vitu vizuri. Kama hatuna bustani nzuri kama hii iliyopo jijini Nakuru, Kenya, ni bora jitihada zifanyike ili miaka michache ijayo, tuwe na nzuri, tena kubwa kuizidi ya jijini Nakuru.

Najua pale Mwanza Mjini, jirani na Gandhi Hall, kuna bustani ya uma lakini ukiilinganisha na ya Nakuru, ni kadogo sana.

Je, tuna bustani ya umma nzuri na kubwa kama ya jijini Nakuru nchini Kenya?

 
Iko Wapi hiyo Bustani Nzuri...?

Ndio hizo picha..?

Au Umetumia Kamera Ya Tecno..?

Mbona Kinachooneka Cha Kawaida sana(Sijasema kibaya)

Ukitokea Mwenge Dsm ukafika Bagamoyo,hapo. Kati Utakutana na Mi Bostani Chungu mzima Zaidi ya Hizo Picha..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…