Ni wapi ulipingana na methali hii na ukapata tabu sana?

Ni wapi ulipingana na methali hii na ukapata tabu sana?

Joined
Jun 16, 2024
Posts
45
Reaction score
56
1. Nkiamka asubuhi nnafanya kazi zangu kwa haraka ili niwahi kazini na ninawahi.

2. Nikiwa nimechelewa kazini au mahala flani huwa naongeza mwendo wa kutembea ili niwahi katika jukumu hilo na nnawahi.

3. Nikitaka kumaliza mtihani kwa wakati lazima nikimbizane na muda ili nimalize maswali yote
Unahisi mwandishi wa methali isemayo"harakaharaka haina baraka" alikuwa amelenga maeneo gani katika uhalisia wa maisha ya kila siku?

Na tuambie ni wapi ulipingana na methali hiyo na ukapata tabu sana.
 
Back
Top Bottom