ni wapi wanapatikana wenzi wa ukweli

ni wapi wanapatikana wenzi wa ukweli

gen parton

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
642
Reaction score
410
humu asilimia kubwa ni matapeli tu mapenzi ndio waliojaa na hawahawa hata fb ndio wanaotusumbua nenda makanisani ni utapeli mtupu mtu yuko rsdha ajifanya mlokole kisa aibue wanakwaya, njoo mtaani ndio usiseme wamejaa wachuna mabuzi tu ninda vyuoni kwa wale wavaa vimiwani ndio usiseme ni balaa tupu nenda sehemu za kazi bahati mbaya ukutane na boss kiwembe ndio balaa na uliza wapi mke mwema anapatikana?
 
Hakuna sehemu maalum ya kumpata mke mwema..! Endelea kumuomba Mungu wako unaweza kumpata hata kwenye stendi ya bus..! Kila la heri..!!
 
Ili upate mke mwema,nilasima umuombe Maulana huku ukitafuta kwa makini.Anapatikana popote isipokuwa vilabuni!
 
Back
Top Bottom