chriss brown
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 292
- 63
Wanawake wasomi na ambao ni wa kawaida yani walioishia la saba tu,na ukilinganisha na wenye elimu za juu,ni wpi weny mapenzi ya dhati na waaminifu zaidi
Kwa hiyo wadau muafaka ni upi
me nimeuliza hivyo sababu wanawake wenye elimu kubwa wengi wanajiona wanajua kila kitu,swali,oa mwanamke akuzidi elimu alafu uone,wana nyodo ndugu,na anajiona yeye ndo top
mapnz ya that hayana uhusiano na kiwango cha elimu,ni swala la mtu binafsi na mhusika anaweza acwe na mapnz kwako akampenda mwingine and virse versa.