Ni wapi zilipo ofisi za Bolt na namba za huduma kwa wateja?

Ni wapi zilipo ofisi za Bolt na namba za huduma kwa wateja?

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Posts
2,832
Reaction score
2,390
Hawa bolt wamefanikiwa sana kupanua wigo wa biashara yao.

Ukikutana na adha ukahitaji usaidizi, kwenye menu yao ukianza kujaza tu unajibiwa na AI ambapo kunakuwa na gaps na majibu yao.

Nani anahusika na ulinzi wa walaji.
Latra mtuambie kwa huduma hii ya bolt, miundombinu mbinu ya kulinda watumiaji hata madereva wa vyombo imejitosheleza?
 
Back
Top Bottom