Ni wapi zilipo ofisi za Zara Tours Adventures

babuumzuri

Member
Joined
Sep 18, 2020
Posts
14
Reaction score
7
Samahani,

Naomba kujua ofisi za zara kwa maeneo ya moshi zinapatikana wapi? Mwenye kujua naomba anielekeze

Msaada tafadhali
 
Nenda pale karibu na tawi lao keepleft ukitokea stendi na karibu na Rodstone ukitokea Arusha uwaulize watakwambia, ila ofisi yao kuu iko kule maeneo ya Pasua.
 
Uliza bodaboda wengi wanapojua ofisini kwao,au upo nje ya Moshi.?
 
Samahani,

Naomba kujua ofisi za zara kwa maeneo ya moshi zinapatikana wapi? Mwenye kujua naomba anielekeze

Msaada tafadhali
Mkuu ndio unataka kwenda ile valentine day ya mwezi wa 10?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…