Ni wasanii wachache sana wa bongo wanaoishi kwenye mijengo yao, wengi wamepanga

Ni wasanii wachache sana wa bongo wanaoishi kwenye mijengo yao, wengi wamepanga

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Wakuu kwa nini wasanii wengi wanaishi kwenye nyumba za kupanga hata kwa wale waliobahatika kujenga mijengo yao. Kuna wasanii wana pesa nzuri sana lakini wanaishia kupanga na tuna mifano kibao ya hawa wasanii tukianza kuwataja ni foleni ndefu sana. Kwa nini wanakua hivi?
 
we jamaa unasumbuliwa na nyege, najua unayemlenga hapo kama kawaida yako
 
Hahahaaa! Wanajua wenyewe sababu...
 
Maswali yako duh

Risechi haiishi?

Kama nyumba yako inakupa pesa mara mbili au tatu ya rent hauoni kuwa unapata pesa ya matumizi au kusevu pia.
 
Wakuu kwa nini wasanii wengi wanaishi kwenye nyumba za kupanga hata kwa wale waliobahatika kujenga mijengo yao. Kuna wasanii wana pesa nzuri sana lakini wanaishia kupanga na tuna mifano kibao ya hawa wasanii tukianza kuwataja ni foleni ndefu sana. Kwa nini wanakua hivi?

Kila mtu anaishi anakotaka hata wewe unaishi unakotaka!kuna shida gani kwa msanii kuishi anakopenda?? Mbona una mambo ya kizee wewe???
 
We utakua umezaliwa, umekulia na unaishi Tz jaribu kutoka na kuishi nje ya Afrika uongeze maarifa
 
Mkuu wewe kwenu si mbezi ya shamba,na pale mabibo hostel ulikuwa unafanya nini mwaka 2006?
 
Back
Top Bottom