Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni uhakika wa kuwepo kwao , ninachokitafuta ni idadi yao , tufanye sensa .Una uhakika halafu unauliza?
Nimejikuta nacheka sana !Chaka letu huwa nchi za Asia tena miaka ile ungeanzia hapo ungewakuta Julio na kampuni yake. Kifupi unataka kuleta hizi mwandishi anamuhoji kocha na kuzitaja timu "nilipotoka juventus nikaenda AC Milan hapo nilikuwa na kandarasi ya miaka miwili ila mkataba haukuwa mzuri nikaachana nao na kujiunga na napoli nikatwaa ubingwa pale kisha nikasogea kidogo nje hapo nikaenda Barcelona ambapo mwaka jana niliamua kustaafu ndugu mtangazaji timu zote hizi ni za TEMEKE.
Arabuni hata julio (jamhuri kiwelu )alifundisha huko.Marehemu mansur Magram naye alipata kufundisha nje..nchi nimeisahau.
Mkuu kiufupi hatuna na tatizo ni lugha, lugha ya malkia inasimama kama limiting factor, nimekuwa nikijiuliza hili swali muda mrefi sana, nashukuru umeleta mawazo yaliyoshabihiana na yangu.mwingine mwenye majibu tofauti tafadhali
Aiseee !!Mkuu kiufupi hatuna na tatizo ni lugha, lugha ya malkia inasimama kama limiting factor, nimekuwa nikijiuliza hili swali muda mrefi sana, nashukuru umeleta mawazo yaliyoshabihiana na yangu.
Kiufupi hakuna makocha wa kibongo nje!
Japo sisi tuna import sana hasa toka inchi jirani karibu zoote, kenya, uganda, rwanda, burundi, congo, zambia, malawi. Na mbaya zaidi ukienda ktk inchi hizo ni ngumu kukuta kocha mtanzania!!
TUNAKWAMA WAPI??
ππππLigi ya Tanzania ina msisimko mkubwa na inawezekana inalipa vizuri, tuna lundo wa makocha Tena wazuri tuu ila wote nadhani wanataka wafundishe hapa hapa...angalia hata uingereza ni Mara chache Sana kocha wa kingereza kufundisha nje ya UK