yesamrich JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 2,520 Reaction score 4,526 Jan 19, 2023 #41 Diazepam said: Tutajifunza akiondoka. Click to expand... [emoji1787]
K K2S7J3 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 449 Reaction score 332 Jan 19, 2023 #42 Kwa tunaojua Moira, kocha alikuwa sahihi na anatakiwa aendelee hivyo ndipo timu itaimarika
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 19, 2023 #43 Mambo yake muachie mwenyewe...
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Jan 19, 2023 #44 Ng'wanamangilingili said: Baada ya kufanyiwa mabadiliko dk ya 32 kamaindi live bila chenga na mashabiki pia wameonyesha kucheua live bila chenga. Katolewa baada ya assist moja. Kocha ashinde lasivyo patashika Click to expand... Kwan Kocha hajatolea ufafanuzi sub ya Chama?
Ng'wanamangilingili said: Baada ya kufanyiwa mabadiliko dk ya 32 kamaindi live bila chenga na mashabiki pia wameonyesha kucheua live bila chenga. Katolewa baada ya assist moja. Kocha ashinde lasivyo patashika Click to expand... Kwan Kocha hajatolea ufafanuzi sub ya Chama?
O Outcrop Rock JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 275 Reaction score 398 Jan 19, 2023 #45 Wakipekee said: Kivipi Click to expand... Mwenye team ameifuta kabisa katika Raman ya soka, wachezaji wamepewa Uhuru wa kutafuta team za kwenda
Wakipekee said: Kivipi Click to expand... Mwenye team ameifuta kabisa katika Raman ya soka, wachezaji wamepewa Uhuru wa kutafuta team za kwenda
KAGAMEE JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 4,457 Reaction score 5,454 Jan 19, 2023 #46 Hakuna mchezaji pale