Ni wazi Mbowe hana ushawishi tena chadema

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Wakati maalim seif anaondoka cuf, Umati wa viongozi wakubwa na wanachama walimfuata. Cuf ilipotea na imepotea kabisa.
Tofauti na Mbowe, licha ya kuwa mwenyekiti wa miaka Mingi kitendo cha leo kuondoka wanachama maarufu chadema kama salum mwalim, Kigaila huku hata makao makuu ya chadema haijatikisha ni wazi uongozi wa Mbowe sio tishio tena na hana ushawishi kwa sasa.
NASEMA UKWELI JAPO UNAUMA
 
Kwa Chadema ilivyo ukiondoka unaondoka peke yako
 
Wewe na mwenzako Lucas Mwashambwa si ndiyo mlikuwa mnmpamba sana wakati wa kampeni uchaguzi mkuu wa Chadema.
 
Mwamba amejikalia kimyaaa twamchokoza
Siasa ni fikirishi sana
 
Mbowe akitangaza kuondoka CDM ataondoka na kundi kubwa sana, ni kweli CDM haitakufa kwasababu Mbowe ameondoko, kama ilivyokuwa kwa Maalim Seif CUF, but CDM itadhoofika sana.
 
Mbowe akiondoka chadema inakwenda kupoteza 90% ya wachaga
 

Kwamba?

Your browser is not able to display this video.


Hawa siyo kuwa walikuwa mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…