Pre GE2025 Ni wazi Mchengerwa ambaye ndiye anapanga Safu ya Wasimamizi wa Uchaguzi mkuu wa 2025 amemzidi sana Mbowe wa Chadema Kimbinu na Kimkakati!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kama hujui Wakurugenzi wa Halmashauri ambao wako Chini ya Tamisemi ndio Wasimamizi wa Uchaguzi mkuu

Safari hii Tamisemi inaongozwa na mwanasheria Mchengerwa ambaye siyo muongeaji sana kama Jafo bali ni Mtendaji mzuri sana

Mchengerwa kisiasa anamzidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman na Sekretarieti yote Kimbinu, kimaarifa na Kimkakati

Mchengerwa ofisini kwake anao Wasaidizi na mmoja Wao ni Dr Mahela Kijana wa Shujaa Magufuli

Hizi sarakasi za Chadema zinazoendelea sasa zinatokana na Ukweli kwamba Wameshafanya Utafiti na kugundua huenda hata huyo Mbunge mmoja waliyenaye hawatampata tena

Mchengerwa anaona mbali sana

Ahsanteni sana
 
..Na Mchengerwa na mkwe wa Mr & Mrs Hafidhi.
 
Chadema kwa sasa wana matatizo ya ndani ya chama chao wamalize kwanza ndio wafikirie labda 2030 wakiwa wamejipanga ili kushindana na CCM.
 
Kwa hiyo unamnongoneza Mbowe apange safu ya wizi wa kura?
 
Ikiwa Mbowe anashinda uenyekiti CCM watampa wabunge kadhaa kama hisani lakini ikiwa atashinda Lisu uenyekiti, asahau kupata kiti hata kimoja cha ubumge. Tuza hii coment
 
Ikiwa Mbowe anashinda uenyekiti CCM watampa wabunge kadhaa kama hisani lakini ikiwa atashinda Lisu uenyekiti, asahau kupata kiti hata kimoja cha ubumge. Tuza hii coment
Hiyo ya kupeana Wabunge siyo CCM hii ya Makalla na Dr Nchimbi

Labda Katibu mkuu awe Dr Mwigullu PhD na mwenezi January Makamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…