NI WAZI PHD NI BIASHARA TANZANIA

NI WAZI PHD NI BIASHARA TANZANIA

fisi 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
3,280
Reaction score
4,645
Baada ya maoni mbalimbali juu ya PhD zinazotolewa kwenye vyuo vya Tanzania ni dhahiri kuwa kuna biashara nzuri kwenye eneo hilo. Hii ni aibu kwa Vyuo vyetu na kuna haja ya uchunguzi kufanyika. Naamini soon tutakua na PhD za chupi. Wasalaamu Mdau wa PhD.
 
Hii ni baada ya baadhi ya watu wenye sifa tata za elimu zao ngazi ya chini na katikati kutunukiwa PhD
 
Hii ni baada ya baadhi ya watu wenye sifa tata za elimu zao ngazi ya chini na katikati kutunukiwa PhD
 
Phd fake
FB_IMG_1639746836253.jpg
 
Waziri wa elimu amelegeza msimamo wake juu ya utunukiwaji wa shahada hizi? Huko nyuma ni kama alianza kuchimbachimba baadhi ya sifa za elimu zilizopatikana kwa kuungaunga badala ya kusoma mwanzo mpaka mwisho freshly
 
Hivi lile sakata la kitabu cha mafisadi wa elimu liliishaje? Maana kulikuwa na orodha ya viongozi mashuhuri wenye elimu ya juu tata, baadhi yao wakawa wamejiendeleza chapchapu na kutunukikiwa hizo elimu za juu
 
Jamani sina wivu kabisa Kwa sababu PhD hazijaisha lakini ikiwa hata Waziri wa elimu kiingereza ni ndombilolo iweje kwa wengine. PhD PhD nasubiri UDOM wampe Na Lusinde.
 
Baada ya maoni mbalimbali juu ya PhD zinazotolewa kwenye vyuo vya Tanzania ni dhahiri kuwa kuna biashara nzuri kwenye eneo hilo. Hii ni aibu kwa Vyuo vyetu na kuna haja ya uchunguzi kufanyika. Naamini soon tutakua na PhD za chupi. Wasalaamu Mdau wa PhD.
za chupi tuu, hadi za mbususu hali ni mbaya na hili limefumbiwa macho siku nyingi baada ya kukolea sasa ndo linaanikwa waziwazi.

Chuo cha UDOM Malecturer wote kuanzia tutorial mpaka profesa watimuliwe, kazi imewashinda ni wala rushwa wakubwa, mashetani wanaotembelea kivuli cha binadamu, hawafai kabisa.

Na adhabu yao wafungiwe jiwe kubwa shingoni mwao watupwe baharini. Wanastahili kunyongwa.

Na UDOM ifutwe, ifanywe kivutio cha watalii na nyumba za mabalozi wanaotoka nje.
 
Unaweza kutoa sababu kwa ulichokiandika hapa ?
 
Back
Top Bottom